n00b
Platinum Member
- Apr 10, 2008
- 1,031
- 2,742
- Mbona umenenepa hivyo?
- Umeoa?
Maswali gani yasiyo na tija huwa yanakukera mwenzangu?
#MaswaliYaOvyo
- Umeoa?
Maswali gani yasiyo na tija huwa yanakukera mwenzangu?
#MaswaliYaOvyo
- Mbona umenenepa hivyo?
- Umeoa?
Maswali gani yasiyo na tija huwa yanakukera mwenzangu?
Mtu akitaka aniudhi basi aniulize hilo swali, Silipendi kbs ktk maisha yangu.
mtu unakula na kunywa kila siku kwa nini usinenepe......!!!!!!!!!!
Hahahah...washamba tu hao Shem, sijui wanadhani kila mtu anaishi Somalia ambako mtu akijamba tu lazima wamwandame, maana mtu hawezi toa mashuzi kama hajala!
Hahahah...washamba tu hao Shem, sijui wanadhani kila mtu anaishi Somalia ambako mtu akijamba tu lazima wamwandame, maana mtu hawezi toa mashuzi kama hajala!
Afu shem unajua inabidi tukae kama kamati ya mtu 3 kuhusu safari ya TA
Mimi, wewe na yuleeeeee.......
Kaka umeua, kwa hiyo watu wanataka kujua umekula wapi kisa tu umefusa....
Hakuna swali nililolipenda kama hili.....
"Mtoto mzuri kama unakosa hela"
Sijui wanadhani ukosefu wa hela unachagua?????
Vip unakutana na swali kama hili..,."shost aisee sikuizi unamahips vip mchina nin?".....Au "shost sion C6 akikufanyia kampen vip kakutema nin?"
we jamaa umeanza majungu, hebu niambie mmeanza ushosti tangu lini? au unatafuta mbinu ya kurudisha majeshi kwa niaba ya yule ndugu yako nani vile? kapoteeea
Kisa mwingine kaolewa/kaoa basi ndugu,jamaa na marafiki utawasikia huko huko ukumbini"ehe na wewe utaoa/utaolewa lini"?
I wish wangejua kuwa swali lao linakera wangekaa kimya.......
Hakuna swali nililolipenda kama hili.....
"Mtoto mzuri kama unakosa hela"
Sijui wanadhani ukosefu wa hela unachagua?????