KiMENUKA leo hapa home wamepika UGALI...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,348
Reaction score
111,621
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!

Ugali.jpg
 
ha,ha,ha,ha.....teh,teh,...bora yako mie leo ding alfajiri katukusanya wote mwelekeo shambani,hiv tupo tunaandaa shamba....alafu yupo kanuna ili tusipatekumuuliza x-mass
 
Hahah! Karibu kwetu.. sister anarost kuku original, ndizi na viaz, maza kafunikia pilau Mbuzi huku akiandaa makaroni, shemeji anaandaa salad ya maana pamoja na chachandu ya nguvu! Kifupi hapa kwetu leo ni drafti...
 
Worry out ..... Nimekuandalia mahanjumati kama haya!!!! Karibu.....

bbq-chicken-wings.jpg
 
watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,ha,ha.....teh,teh,...bora yako mie leo ding alfajiri katukusanya wote mwelekeo shambani,hiv tupo tunaandaa shamba....alafu yupo kanuna ili tusipatekumuuliza x-mass

hahaha hiyo ni bora maana hata harufu ya ubweche toka kwa majirani hutaisikia...
 
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!

Hiyo isikusumbue kabisa! Mega ugali wako kwa kutumia harufu nzuri toka kwa jirani! Ni suala la kuwa IMAGINATIVE🙂
 
Unadhani mie nilokimbilia mbeya ni mjinga? Niliziona dalili mapeema nikaona isiwe taabu

khaa! yaani sijui niende zangu tu Coco nikale mihogo...au nijifanye naumwa walau ninunuliwe Pepsi
 
Hahah! Karibu kwetu.. sister anarost kuku original, ndizi na viaz, maza kafunikia pilau Mbuzi huku akiandaa makaroni, shemeji anaandaa salad ya maana pamoja na chachandu ya nguvu! Kifupi hapa kwetu leo ni drafti...

Mkuu usisahau kura yako piga kwa charminglady!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahah! Karibu kwetu.. sister anarost kuku original, ndizi na viaz, maza kafunikia pilau Mbuzi huku akiandaa makaroni, shemeji anaandaa salad ya maana pamoja na chachandu ya nguvu! Kifupi hapa kwetu leo ni drafti...

duh..mkuu kuna harusi au ndio chrismas hiihii ambayo watu8 yupo chini ya mwarubaini hapa juu ya jamvi akisubiria nguna!
 
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!
Picha please!
 
watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi

Halafu best ndio nini hatualikani...ngoja nitumie hiyo njia yako maana hapa pua zimenifunuka kwa kuzengea harufu ya mipilau ya majirani...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom