Hangover.

Hangover.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
kutokana na mishe za jana leo tuna deal na supu chapati na krest soda.maana chai haitopanda kabisaaa!
 
Uko maeneo yepi hapa Tanganyika? Mikoa mingine watu hawapo kazini hasa kina mangi wamekuja kuhesabiwa ambao ndio wapika supu maarufu.
 
dah! Ndio maana kila nakopita na sioni dalili ya supu.mie nipo kanda ya ziwa mkuu
 
kutokana na mishe za jana leo
tuna deal na supu chapati na krest soda.maana chai haitopanda
kabisaaa!

we ulilewa jana?...wenzio tuna mpango wa kulewa kesho....krest zipo za aina 4...ipi sasa ndo ya kuzimua.....?
 
Imekula kwako,mi jana kilinuka mwanaume nashindia ugali man
 
dah! Ndio maana kila nakopita na sioni dalili ya supu.mie nipo kanda ya ziwa mkuu

Haaa... Kanda ya ziwa wapi? Kama ni Mwanza nenda MAYI Hotel kuna supu swafiii....

Musoma nenda SETAVIN na TARIME nenda IMAN Hotel... Kama ni vijijini sina msaada!!!!
 
we ulilewa jana?...wenzio tuna mpango wa kulewa kesho....krest zipo za aina 4...ipi sasa ndo ya kuzimua.....?

Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.
 
we cl wewe haaaaaa ni hatari mmi mestuka bt ninamausingiz bado
 
Teh teh.... Hata me nshaamka napata chai na kiporo cha pilau cous jana sikutumia ile makitu.... So kiporo ndo mpango mzima!!!"! Karibu!!!!

IMG_6531.JPG
 
Mi, sinywagi pombe' kwaiyo sasa ivi najiandaa kwenda polini kuwinda ka swala'
 
Teh teh.... Hata me nshaamka napata chai na kiporo cha pilau cous jana sikutumia ile makitu.... So kiporo ndo mpango mzima!!!"! Karibu!!!!

IMG_6531.JPG

Umejuajeee shost nami kiporo mbona ndo kwangu na linavyokuaga tamu alaalaaa asante bib wee
 
Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.

inamaana wewe sikukuu imekupita kushoto? Kama hukupata miraa na Big B naona ulikuwa bored sana.
 
Hivi mnakuja tanga lini? Manake nimewasubiri hadi nimechoka. Uniletee mirungi na bigijii kumi plz.
Mambo yote Ijumaa best.
Tutakukuta wapi? Majani-mapana? Makorora? Raskazoni? Mwakizalo?
 
Back
Top Bottom