Welcome to kilimanjaro our home land;

sonashi

Member
Jul 27, 2012
44
10

MOSHI = Mungu Onyesha Hela ilipo
ROMBO = Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba
HIMO = Hata Ikipungua Mungu Ongeza
MARANGU = Mungu Angalia Raia Ngawira Utuhakikishie
MAMBA = Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira
MWIKA = Mungu Wekeza Ishara kwenye Akaunti
URU = Usitunyime Riziki na Uchumi
KIBOSHO = Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa, Hela Ongeza
MACHAME = Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho ni Mapesa Endelevu.
KISHIMUNDU = Kwetu Ikiongezeka Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaipenda.
 
Mmmh Moshi mjini Leo hakufai, Foleni ya magari hadi kero! Kweli nimeamini X-mas na New Year wachaga wanaongoza kwa kusherekea, lazima wane kuhesabiwa!!
 
wanasma tunaiba, angalia tunavyomshrksha Mungu, chezea chaga wewe
 
Mmmh Moshi mjini Leo hakufai, Foleni ya magari hadi kero! Kweli nimeamini X-mas na New Year wachaga wanaongoza kwa kusherekea, lazima wane kuhesabiwa!!

mkuu wachaga hawaendi kuhesabiwa bali wanakwenda kuhiji, teh teh teh teh teh teeeeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom