prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 157
jamaa alikuwa akikatiza porini mara mbele yake akatokea simba ilikuwa ghafla halafu jirani sana na yeye jamaa kuona vile akajua hata akikimbia hawezi kushindana na yule simba,
jamaa akapiga magoti akaanza kuomba mungu amsaidie alipofumbua macho akashangaa akamwona yule mnyama nae kafumba macho anaomba, jamaa akamuuliza heeeee kumbe hata wewe ni mkristo? Simba akajibu kaa kimya huko ''hivi wewe huombagi kabla ya kula ???????????