From ban with love

From ban with love

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii kumkumbatia my baby,my sweetheart,my honey,my lotion Madame B infront of CC members nikimwambia 'i miss ur smile Madame B'
msingi wa urafiki una nguvu zaidi ya uhusiano wowote ule.watu wawili wanaposhare mawazo na ufahamu wa kila mmoja,urafiki huzaliwa.urafiki ni muhimu kwetu.thanx to my frends Donn , noahism Baba V Chilli , stevoh wana CC kwa kuweza kunisaidia kufunguliwa toka kifungoni ambako nilikaa takribani masaa 20.shukrani za dhati ziende kwa my wife Madame B na mkuu Invisible
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu mpenzi,
najua Ulinikumbuka sana kwa kuwa ulikuwa mbali nami.
Nami napenda niseme na Kukiri hadharani na Mbele ya wana ChitChat wote kuwa,
Nakupenda,Nakujali,Nakuthamini na Kubwa kuliko yote Nashukuru kwa Upendo wako Kwangu Chimbuvu.

Pole kwa Kupewa Ban,ila hata hivyo ukiwa na mpenzi anaekujali na kukuheshimu ni lazima uhangaike pale apatapo tatizo,nami ndivyo nilivyofanya.
Sina mengi ya kusema,
But salute kwa Kiongozi Maxence Melo,
Najua bila wewe, Madame B & Chimbuvu.....
Ngoja niishie hapo.

Thank you Chimbuvu.
Your wfy,
Madame B.

CC: Chilli, noahism, Donn, stevoh na Baba V.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom