Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka ukaanza oh Madame B bibi yako sitaki uende kebby's,mara ukanivuta na kunichania shati.Mi siwezi bana bora tuachane gfsonwin kunradhi pamoja na mwaliko nilishindwa kuja shauri ya haka kamwanamke,ukiweza niunganishe na Paloma,@lara1 amu au Arabela.
Last edited by a moderator: