Naku.............................. Manoah. lakini naogopa kukwambia coz cjui utachukuliaje
then namuogopa mama yako ticha mkali
pili kakulea kwa maadili yote cjui kama ntaweza fanikiwa,
Any Agent pls, deal anounced already
mmh yataka moyo, ngoja nijipanga naanzaje ingawa nia yangu nzuri nadhan hata ticha atanibariki katika hili
Njoo room kwangu nikukague kwanza! !!zimefanyaje sasa, ges umejitolea kua agent, utaanzia kwa ticha au utaenda direct kwa mhusika
hivi ummu kulthum upo?? Nimekumiss ujue!khaaaa!!!!
usiogope wewe sema tu, ujue mama yangu ananipenda sana....kama anavyokupenda wewe
yale yale , me natafuta agent n not TBS, vigezo na masharti kuzingatiwa