KIPIPI...Come this way Baby!

KIPIPI...Come this way Baby!

Baba V , MzunguMndali anakuulizia njoo haraka..

Naomba tu nitangaze udhaifu wangu hadharani, Hata ikitokea Kipipi kamkubali huyu kijana sitakuwa tayari kubariki ndoa yao kutokana na jinsi alivyoikosea adabu chit chat jana, otherwise nitajivua uenyekiti kwa muda na nikirudi sitaitambua ndoa yao, kimsingi sitakuwa tayari kuendesha zoezi lolote linalomhusu huyo MzunguMndali hadi pale nitakapojiridhisha vinginevyo. I remain Baba V
 
Last edited by a moderator:

Ah,tutatafuta mahali pengine pa kufungia ndoa bhana...wewe tutakupa taarifa tu,au unasemaje mamaa Kipipi?
 
Last edited by a moderator:
Naomba tu nitangaze udhaifu wangu hadharani, Hata ikitokea Kipipi kamkubali huyu kijana sitakuwa tayari kubariki ndoa yao kutokana na jinsi alivyoikosea adabu chit chat jana, otherwise nitajivua uenyekiti kwa muda na nikirudi sitaitambua ndoa yao, kimsingi sitakuwa tayari kuendesha zoezi lolote linalomhusu huyo MzunguMndali hadi pale nitakapojiridhisha vinginevyo. I remain Baba V
kweli hata huo ubwabwa mie tayari umenikinai
 
jikooo jiko jikooo!!!!!! jiko hilo jikooo jiko hiloo jiko!!!!!! mpunga unanukia huo
 
Join Date : 4th September 2012
Posts : 328
Rep Power : 385
Likes Received88
Likes Given1
 
Duh!? Kupendwa raha jamani. Mimi nikipendwa na binadamu wote, nitafurahi sana! Ila unapozungumzia ndoa, lazima uangalie unapendwa na nani. Kama anamatatizo na jamii inayomzunguka, basi utakuwa na wewe matatizoni! Shtuka!!!
 
Hapo kwenye RED umenena vyema ndugu yangu, marejesho atawaacha wazazi wake naye ataambatana na mumewe Arushaone nao watakuwa mwlili mmoja, alichounganisha mungu mwanadamu asitenganishe....
 
Last edited by a moderator:
kwanza Kipipi hana time na wewe. jiangalie kwanza kabla kuchafua Kipipi eti akupende wewe. bora akose bwana maisha kuliko kukukubali. bora hata kauchuna. naongea kama kaka yake. haya funga vilago ondoka chit chat fasta. bado upo?. mia
 
Last edited by a moderator:
Swadakta mwaaaa gudnyt d
Duh!? Kupendwa raha jamani. Mimi nikipendwa na binadamu wote, nitafurahi sana! Ila unapozungumzia ndoa, lazima uangalie unapendwa na nani. Kama anamatatizo na jamii inayomzunguka, basi utakuwa na wewe matatizoni! Shtuka!!!
 
Hapo kwenye RED umenena vyema ndugu yangu, marejesho atawaacha wazazi wake naye ataambatana na mumewe Arushaone nao watakuwa mwlili mmoja, alichounganisha mungu mwanadamu asitenganishe....

umeona eee huyo mzungu akae kushoto kabla hatujamtupa kule
 
Last edited by a moderator:
Kila ninapo kuona,moyo wangu hautulii,na mwili wangu husisimka.
Njoo kwangu mtoto mzuri mrembo Kipipi,tuwe wapenzi,tuzae watoto na kutengeneza familia.
Kwangu kuna mapenzi ya kweli,na naahidi kutokutupa.
Njoo utulize mtima wangu Kipipi,I LOVE YOU.
hahahahahahah Kipipi hahaahahahah kaazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom