Ijumaa hii kutakuwa na Maandamano ya wanadini kwenda wa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, kushinikiza swala la uchinjaji wanyama kwa wanadini pekee liingizwe kwenye katiba. Hii imekuja...
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari
ikawa
kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz
dkt usicheke...
Jamani,tulizoea Chit Chat kuwa stress free zone,lakini hali imeanza kujionesha tofauti,na leo bwana Chilli amelambwa BAN baada ya kumtusi jamaa yetu MzunguMndali!
Rest In Server Chilli.
Ciello
Lara 1
Swts
Snowhite
Charminglady
Mamndeny
Gfsonwin
Mtanielewa baadae sana, Baba V na Kamati yako mpo sahihi.. Ila mmefanya kwa shindikizo la Mtambuzi na ambao mlikua mnamfuatilia Ciello...
My dear Comrades
It has been a pleasure to be with you especially those Friday lovers
If Is to mention the list is Endless.
You guys have been a second family to me, Despite all my posts which...
A young Chagga man walked into a bank in New York City and asked for the loan officer. He told the loan officer that he is going to Moshi on a vacation, for two weeks, and need to borrow $5,000...
Waziri wa Wamasai (Baba yoyo, a.k.a Mzee wa mamvi) alialikwa kanisani kuchangia ujenzi wa kanisa na ununuzi wa vifaa vya kwaya.
WAKATI WA IBADA HALI ILIKUWA HIVI:-
MCHUNGAJI: Wapendwa katika...
************************************************************
Dear Elizabeth Dominic
Kwa heshima kubwa na na taadhima, naomba kwa niaba ya familia yangu, ya wana chit chat, wana MMU na wana JF...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya
msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama dhambi...
Hello wana Chit Chat wa Dsm na maeneo ya jirani akina Madame B cacico noahism Mjeda Vin Diesel Mamndenyi na wana Jf wengine,nawatakia Party njema!!
NAWATAMANI!!!
Heshima wana chit-chat,
Baada ya jana kujumuika na wanajf hasa wa jukwaa letu pendwa la chit-chat pale Kebby's Hotel nimefurahi sana.Kwa mantiki hiyo naomba kukaribishwa katika jukwaa hili maana...
Vichaa waliambiwa watengeneze Tv kwa Kutumia mabox, siku ya kuleta Tv vichaa wote wakaleta Mabox Yao, Kasoro Mmoja ye akaleta Karatasi, wakahisi amepona, Dokta akamuuliza We vipi Mbona Umeleta...
Najiuliza kama wayahudi walimpakisago Christ kwa misumali msalabani ingekuwa leo unadhani nyenzo gani zingetumika na techno yote hii ya wanadamu kila kukicha tunavumbua vitu vikali vya kuuana cc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.