LWITIKO LWITIKO
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 118
Mambo ni vipi?
Mambo ni vipi?
Bilingee.... Baiyoyo bilinge........
Kiuno chako chembamba, cha kuvalia mkanda..
Bilingeee waaah!!!
Bilinge baiyoyo bilinge..... Tunamuomba watu8 amkague LWITIKO LWITIKO Bilinge bilinge mpakaa chiniii...
mkuu huyu kwa uzoefu wangu wa majina atakua ni ME....kwa hiyo fanya fanya mpango wa gulovsi ili ukaguzi uzingatie afya!!!
ok... Nimeagiza kontena toka Japa.... Ila kuna mgeni namfananisha kweli leo
wamfananisha na nani tena...
na mzungu koko... Ila ngoja tuone
na mzungu koko... Ila ngoja tuone
Mbona huyo ni muhindi koko?