zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
kulala ndani ya ndoa ndio msamiati gani mkulu???
kama palikuwa na virus vile
kulala ndani ya ndoa ndio msamiati gani mkulu???
hakuna jukwaa la watoto kweli humu ndani wale wote walio under 25
Bishanga bepari la kihayahukupata card ya mwaliko ?Yangu macho Evelyn Salt kumbe una ndoa?
ooh! My love Evelyn Salt kweli jana nilipombeka balaah!! Hivi nimefikaje hapa nyumbani dear?
kama palikuwa na virus vile
Yangu macho Evelyn Salt kumbe una ndoa?
Marafiki zako walikuleta na kenta dear, nikajua wanashusha gunia la mahindi kumbe ni honey wangu!!!!
Kumbe hujui ndo maana huishi kutuma tuma vi-PM!!!!
uache mara mmoja.....
duh! Baby naomba unishauri nipunguze kunywa pombe kali! Au nianze kunywa valuu niachane na grants
Kunywa tu mpenzi, ukiwa chakali huwa nafaidi na mie nikikusachi sikosi laki!!!!
ndo nachokupendeaga my wife,ila kumbuka uwe unaniachia japo ya supu asubuhi kwa ajil ya kukatia hangover.
Akilewa ndo alivo huyu jamaa, siku moja nitahamia chumba cha jirani mwache tu......!!!
Mh... shost nilikuwa sijaona hilo libandiko eheheeeeiyaaaa.... HOngera mwaya :cheer2::cheer2: