Siku
mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda...
Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku...
Inaitwa Brutal beer! Jina moja la kibabe sana! Yaani BIA KATILI
Kama hujawahi kuiona kwa sura unaweza kuogopa sana.. Lakini once unapoiona unaanza kupata mashaka
.Chupa yake ni ndogo halafu kimodo...
Hii thread ni ya kuchana singer anaanza mwenzako unakuja kuendeleza kwa reply
NAANZA
Ety nilikua safari naenda zanzibali kufika kwenye meli nikaiona pisi kali kaifuta kwenda kujalibu zari dada...
Wangapi walitupenda wakaondoka hawaja rudi, we live once tuki ondoka haturudi.
Kupishana mawazo jambo la kawaida tu, usi catch feeling sana akati wote wapitaji tu.
Tabasamu waki kufurahisha...
Mna pungukiwa nini kufunga profile zenu , au nini kinaongezeka ?
Mbona sisi hatufungi na hakuna baya ?
Na ni kwamba mna ambizana ama?
Maana wamebaki wachache sana karibu na hamna wote mmefunga...
Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
She makes the forum to be on good mood.Her love stories are perfect and amazing.I am always bored when his not around.I like thread she normally posting on the forum.
Wakati mwingine najiuliza, mapenzi ya zamani yalikuwa na ladha tofauti au sisi ndiyo tumeharibu maana yake?
Angalia Suleiman na wimbo wake
Busu zake zinibusu...(Wimbo Ulio Bora 1:2)
Nimekupata...
Kichwa kinajieleza
mimi napenda sana hadithi sasa kila nikisachi naona!!!! matokeo yanakuja jf"" nimesoma hadithi nyingi sana za UMUGHAKA @ Abdallah king Analyse n.k juzi juzi ndo nika aamua...