Bibi mmoja wa Kimakonde alienda hospitali akiwa anasumbuliwa na tumbo. Baada ya kumweleza daktari jinsi alivyojisikia kuumwa, daktari alimweleza bibi huyo kuwa dalili zote zinaonesha alikuwa...
Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wanaoishi mbali mbali yupo ambaye analazimika kuwajulia wenzake hali au yeyote anaweza kumjulia hali mwingine?
Nahitaji kujuzwa maana wapo wanaoona kuwa...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wapendwa wanajamvi wenzangu, Kwa upande wangu niko poa japo ninasumbuliwa na ukurutu kidogo nilioambukizwa huko lupango ambako kwa sasa nimepewa hadi chumba...
J3 Bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form Four kwenda Form five kwa kutumia meli ya MV NECTA wamezama ktk ziwa Zero karibu na maeneo ya...
Simba mambo sio mazuri, Arsenal tunapumilia machine, Barcelona tumekua wakupigwa tu, Shark 04 dah! Hata sisemi..
Huku itali Inter milan nao hawa aminiki,
aah!
Cheka na madenge.
Mwalim Madenge tokea uanze kusoma jografia, ni maziwa gan makubwa unayoyajuwa? Madenge: Nayajuwa ya Khadija Yusuph na Aisha Mashauz! jioni njema!
Kuna mtoto alikuwa anavuta sana Bangi, siku moja Baba yake kamfuma.Akamwambia kwa ukali mwanangu Nakupa radhi, yaani nakuvulia nguo,
Nae mtoto akajibu
We we we weee..
YAAANI MZEE UKIVUA TU NGUO...
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster
Pagani Zonda Cinque Roadster
.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha...
Habari zenyu binafsi.....
Hivi ukipewa nafasi ya kujipiga BAN ya muda kwa majukwaa matatu (3) utachagua majukwaa gani??
Mie hapa
1. Jukwaa la wakubwa.
- Sababu huwa linanitia...
sina la maana la kujitetea, ila najua sijatenda haki. Mtambuzi, Madame B, vin diesel, Kipaji Halisi, KakaKiiza, amu, Paloma, Zion Daughter na wadau wengine nilio waahidi kuja na wale wote...
Kuna jamaa mmoja Mswahili (Mbongo) alikwenda Afrika kusini akakodisha chumba katika hoteli ya hadhi ndogo.Akiwa ndani ya chumba akaona panya anamuangalia kwa macho makavu na akimshutua hatoki. Kwa...
"Usipojibu swali hili nitakufi...,nitakufi...,nitakatufinya kweli".Mwalimu mmoja mwenye hasira na kigugumizi alikuwa mwambia mwanafunzi wake darasani, baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.