Mhh Mswahili bana,we acha tu!

Mhh Mswahili bana,we acha tu!

HOMOSAPIEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
745
Reaction score
273
Kuna jamaa mmoja Mswahili (Mbongo) alikwenda Afrika kusini akakodisha chumba katika hoteli ya hadhi ndogo.Akiwa ndani ya chumba akaona panya anamuangalia kwa macho makavu na akimshutua hatoki. Kwa uwoga akapiga simu reception na mazungumzo yalikuwa hivi:

JAMAA:Haloo!



RECEPTIONIST: Yes, may i help you?(Jamaa kusikia anajibiwa kwa kiingereza na yeye lugha haipandi sawasawa kwa haraka ikabidi ...amwambie.

JAMAA: You know TOM & JERRY?

RECEPTIONIST: Yes I do.

JAMAA:Yes!, Jerry is here...
 
Back
Top Bottom