I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wasalamu,
Nimekuja kutokea kifungoni,....nisingependa kueleza machungu ya huko kwani sitayaweza yamaliza,isipokua mwenye swali aniulize ntamjibu. charminglady kipenzi changu usinipenda hata kwa dawa,naomba unipokee walau hata kwa dk kadhaa kisha ndo uende kwa kile kitoto C6 ,ingawa bado umepotea kupenda house boy wangu kwa lengo la kunikomoa bado ntazidi kukupenda mpaka kufa.
nitoe shukurani kwa St. Paka Mweusi , Madabhali Jnr na wengine wote wenyenia ya dhati na kutamani siku moja kuniona niko charminglady .Cl Bado nakupenda,ntakupenda na sitaacha kukupenda.Nipokee charminglady BADO NAKUITAJI
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahhahahah
welcome back!
Mi nitafanya kazi yangu kulingana na sheria!
 
Ngoja nijibanze hapa niangali hizo piston zitakazotoka kwa c6 ingawa valve zimefunga najua zitapasua engine tu. Unajiingiza kwenye moto wa kisayansi. Usianze kupiga yowe.
 
Hahahahahhahahah

chitchat pananoga saasa

welcome back!
Sipati picha!

mkuu womuka ruttashobolwa ,ahsante sana!kifu nimekuja baada ya kuwa kwenye kipindi kigumu,utakumbuka dakika za mwisho Charminlady alipotea katika mazingira tatanish huku akiacha msg kuwa ameondoka kwa ajili yangu,kiukweli nilipata stress hali iliyonifanya kujikuta nakiuka taratibu za Jf na kuzawadiwa kifungo cha siku 21,nikiwa kifunguo nashuhudia cl anarudi na ghafra anabebwa na house boy wangu tena kwenye kitanda changu,tena kwa pamba zangu.Niliumia sana.Sasa nimerudi,Hakiamungu nimerudi!
 
Last edited by a moderator:
Mamma yangu!
Read this :-
" When the Cat's away the Mice do play ! "
And
" When all speak, none hears ! "
ni hayo tu !
 
charminglady nikikwambia Nakupenda ujue namaanisha hata kama tayari unamimba nipo tayari kulea mimba ya mwanaume mwenzangu,what i want is to own you...njoo mama,njoo unitulize roho
 
Last edited by a moderator:
Huyo mpen zi wako ameshachukuliwa na papaa Bishanga na ndo karibia itajibu.
 
mbona chit-chat udaku mwingi, maneno kila mtu anasema lake, ngojeni charminglady ambaye ni mama watoto aje, tena wakati ndio sasa naomba msimbue maana yuko kwenye critical stage ya ujauzito usije sababisha miscariage ya firstborn wetu....
 
Last edited by a moderator:
Naomba Niwe Dalali Wako Ktk Mchakato Mzima Wa Kumrudisha CL Kwako.

karibu mwanadada Madame B unganisha nguvu,na hakiamungu ikitokea ukafanikia hadi cl akatoa kauli toka kinywani kwake ntakushushia bonge la zawadi,serious huta amin
 
Last edited by a moderator:
wajinga ndio waliwao, unadanganywa na mganga eti anauwezo wa kurudisha msichana ambae hakutaki nawe umo tu tawiree
 
Back
Top Bottom