Ukipewa nafasi hii utautumiaje??

Ukipewa nafasi hii utautumiaje??

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi.....

Hivi ukipewa nafasi ya kujipiga BAN ya muda kwa majukwaa matatu (3) utachagua majukwaa gani??

Mie hapa
1. Jukwaa la wakubwa.
- Sababu huwa linanitia minaniliu tuuuu. wakati naniliu yupo mbali na upeo wa yangu majicho.

2. Jukwaa la Siasa
- Hili huwa linanipa stress tu ninapoona nchi inavyopelekwa mzobe mzobe.

3. Jukwaa la Utani + Udaku
- Yaan nikiingia kule huwa navunjika mbavu zangu. Nashindwa kujizuia kucheka. Kuna siku nilicheka mbele ya boss wangu. Dah yan nilionekanaje kituko huku machozi yakitiririka.
 
1:Jukwaa la dini-Hili limejaa kashfa na madongo kwa dini nyingine.
2: Jukwaa la siasa:Hili limewahi kunisababishia LIFE BAN ambayo niliitumikia kwa miezi 9,baadaye kina Invizibo wakanisamehe.
3:Mambo ya kikubwa:Mh!!!!
 
Nime hamishia makazi jukwa la kikubwa, karibu sana. Mzima mkuu
1:Jukwaa la dini-Hili limejaa kashfa na madongo kwa dini nyingine.
2: Jukwaa la siasa:Hili limewahi kunisababishia LIFE BAN ambayo niliitumikia kwa miezi 9,baadaye kina Invizibo wakanisamehe.
3:Mambo ya kikubwa:Mh!!!!
 
Mbona hamtoi sababu???
najipiga bun kwenye siasa maana kule kila nikiingia nasikia bun inaninyemelea kuna watu wanaongea pumba mno
miaka hamsini na matatizo yote haya maji, elimu, afya bado ni ndoto then unakuta ------( sorry) anasifia ccm si unatawanya kama......!
 
Mwajukwaa yote poa!
Jukwaa nuksi ni la politiki !
Kule mada kukicha ni kama si Chdm & ccm kurushiana mawe, basi Waislamu & Wakristo!
 
Jiweeeee..... Eti -------- Si umalizie tu???? Kuna mijitu inakera sana kule. Itaishia kuwa kama wapiga debe tu ilhali hawaondoki na gari!!!!!
 
Mwajukwaa yote poa!
Jukwaa nuksi ni la politiki !
Kule mada kukicha ni kama si Chdm & ccm kurushiana mawe, basi Waislamu & Wakristo!

Judgement Cdm na Ccm si ndio siasa zenyewe????
 
Last edited by a moderator:
1. Jukwaa la Kikubwa
Sidhani na wala sitarajii kuomba ruhusa jukwaa hilo. Ingawa sijawahi kuingia huko, ila naamini hakuna jambo jipya la kujifunza(sioni kama nitaongeza ujuzi wowote), hivyo nilishajipiga BAN ya jumla jumla tangu awali.
 
Na ile Id yako nyingine unayo ingia nayo kule utaipiga BAN?{KIDDING}
BTW hulali wewe baba sweetlady?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom