Nitakufi......

Nitakufi......

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
"Usipojibu swali hili nitakufi...,nitakufi...,nitakatufinya kweli".Mwalimu mmoja mwenye hasira na kigugumizi alikuwa mwambia mwanafunzi wake darasani, baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mwalimu huyo.
 
Back
Top Bottom