Hii kali

Hii kali

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
511
MKE;Mume wangu huyu jirani ananitongoza sana,
Mume; we mkubalie halafu mwambie aje mfanyie hapa,mi nitajificha uvunguni nimuoneshe kazi!
....siku ya kazi iyooo.
Jamaa kafika hadi chumbani ile anaanza kuvua mara mke mtu akastuka" eeehn mbona una makovu hiv?.."
Jamaa; mi huwa nafumaniwa sana, ila nimewaua wote walonifumania jumla yao ni 19,
jamaa akala mambo akaondoka salamaa....!!!baadaye
MKE;mume wangu kumbe hunipendi sasa umefanya nini?
Mme; we mwehu nini?Ulitaka niwe wa 20 kuuliwa??, twende police!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom