J3 Bendera ya taifa itapepea nusu mlingoti, kutokana na msiba wa watu 246,000 waliokuwa wakitokea Form Four kwenda Form five kwa kutumia meli ya MV NECTA wamezama ktk ziwa Zero karibu na maeneo ya shule za Kata! Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Necta libarikiwe! Advance iliwapenda lakini Kilimo kimewapenda zaidi