Suzuki carry truck .... Inahitajika

Suzuki carry truck .... Inahitajika

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,738
Salaam sana wana cc wote.

Nahitaji gari kama hii hapa chini,
Naona kama itanifaa kwenye kazi zangu ndogo ndogo za hapa na pale.

Napenda mwenye gari kama hii hapa tuwasiliane
ili niweze kununua kwa bei ya nyumbani.

Msinitume kwenye matangazo madogo madogo hapa cc ndio
nyumbani kwangu.


02.jpg
 
hee jamani watafuta gari upande huu
si ungeweka tangazo lako kwenye kkona ile kule bestito?

haya mwenye nalo atakupm ondoa hofu kwani wengine
hatutumii ungesema Verossa ningekuuzia langu la gift.
 
Hapa naamini kuwa tunakutana
wana cc wote.

hee jamani watafuta gari upande huu
si ungeweka tangazo lako kwenye kkona ile kule bestito?

haya mwenye nalo atakupm ondoa hofu kwani wengine
hatutumii ungesema Verossa ningekuuzia langu la gift.
 
Poa, asante kwa maushauri,
Ngoja nitembeze tembeze bakuli
ili nifikie hapo.

nina nn nawe babu?
Mamndenyi, ukiwa na 6m unaweza kuagiza yako, ukalipia ushuru plus makorokoro yote hadi inaingia barabarani...
 
Back
Top Bottom