Saundi Za Mpendwa....!!!

Saundi Za Mpendwa....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Jamaa: hello mrembo ,samahan una mpenzi?
Binti: hapana sina mpenzi
jamaa: mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae
binti: lakini mimi sikupendi
Jamaa: waraka wa kwanza wa yohana 4:8 Yeye asiyependa hakumjua Mungu, kwa maana mungu ni upendo
Binti: mh, mm nitajuaje kama we mwaminifu
Jamaa: Injili ya marko 13:31 Mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Binti: wewe kwanini umekuja kwangu? Wasichana wengine hujawaona?
Jamaa: Mithali 31:29 Binti za watu wengi wamefanya mema lakn wewe umewapita wote! CHEZEA MPENDWA KWA VIFUNGU WEWE!
 
jamaa: Hello mrembo ,samahan una mpenzi?
Binti: Hapana sina mpenzi
jamaa: Mwanzo 2:18 bwana mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae
binti: Lakini mimi sikupendi
jamaa: Waraka wa kwanza wa yohana 4:8 yeye asiyependa hakumjua mungu, kwa maana mungu ni upendo
binti: Mh, mm nitajuaje kama we mwaminifu
jamaa: Injili ya marko 13:31 mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe
binti: Wewe kwanini umekuja kwangu? Wasichana wengine hujawaona?
Jamaa: Mithali 31:29 binti za watu wengi wamefanya mema lakn wewe umewapita wote! Chezea mpendwa kwa vifungu wewe!
hata shetani hutumia bibilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom