Una mtext mtu afu ananzisha maongezi yeye eti umepotelea wapi?? Yaani kukutext nianze Mimi halafu unanigeuzia kibao eti nimepotea!! Hivi hii kauli imeekaaje wadau??
Maana badala ya kusema za...
Hasira yaweza panda ukapiga mtu kofi kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi twaweza kusema ndio.
waweza kumpiga kofi mama kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi walisema hawawezi hata kama...
Mlevi kamkuta mlevi mwenzie analia nje ya baa;
KOLU: We vipi tena unalewa mpaka unalia? Au umeishiwa hela ya kunywa nikakununulie?
DOLU: Nimejitapikia, mke wangu mkorofi nikifika atanidunda sana...
Nyie mmezoea sijui mabaga na chipsi pale stiazi, mara sijui wapi nini nanini, ona sisi wa uswazi menu yetu kivyetu vyetu, sikia sasa tozi la uswanga likiagiza menu..
..... Nipatie miguu ya kuku...
Tofauti kati ya wasichana wa UDSM na wasichana wa UDOM
Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali na kwamba wote ni wazuri na wamemeenda vidato lakini zipo tofauti kubwa...
Madadii na mashostito. Leo tunasherekes birthday ya Heaven on earth pale Chawote Bar. Usiku tunaenda kuumalizia zero Pub maandalizi yote yanaratibiwa na Baba V.
Pale Chawote muwe makini na mizigo...
Ilikua ni darasani mwalimu akatoa jaribio kwa mfumo wa Insha! Na hakuna kufuta futa!
Swali la kwanza; "Eleza ni chakula gani ambacho ukilipiwa hotelini unaweza kula! (5 marks)
Wavulana; "Ugali...
Kwa kuwa Mwanamuziki akifariki husindikizwa kwa NYIMBO, Askari au Kiongozi husindikizwa kwa kupiga Risasi au Mizinga. Kwa nini Mwalimu nae akifariki tusimsindikize kwa VIBOKO? Ni mtazamo tu jamani...
BABA: Kati ya mimi na mama yako
unampenda nani zaidi?
DOGO: Nawapenda wote
BABA: Mimi ningeenda Dubai
halafu mamako akaenda London, we ungeenda
wapi?
DOGO: Ningeenda London
BABA: Kwanini?
DOGO...
Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni.
wish u weekend...
Dear salary,
As you are near to c ome home, Please stay with me even for little while
You left me in such a sudden rush last month, I didn't even have time to tell your my plans. I am sorry...
Wadau wa habari motomoto za Udaku leo tena gazeti lenu linakuja na vitu motomoto, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic linashuka kama ifuatavyo.
1 zubedayo_mchuzi...
Kusali sana
Starehe
Kupiga mizinga
Tapeli(Yahaya)
Wizi( hata wa wake/waume za watu)
Kujifanya matawi kumbe Loh...majanga
Kupenda mabeki 3(ulevi mbaya kabisa )
Nk nk ...jitokeze waweza pata hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.