englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
We ng'ang'ania kumsubiri Mr. Right. Kila mtu unaona hafai. Muda unaenda. Itafika time unatatulia tu na Mr. Available na itakula kwako
kwahiyo..........
we ng'ang'ania kumsubiri mr. Right. Kila mtu unaona hafai. Muda unaenda. Itafika time unatatulia tu na mr. Available na itakula kwako
Yakikushinda tusikuone huku
hahaa Hayawezi kunishinda bana......habari ya Jumamosi
Ipo poa... Naona una league kubwa huko chit chat... Mwanaume vs Wanawake
We ng'ang'ania kumsubiri Mr. Right. Kila mtu unaona hafai. Muda unaenda. Itafika time unatatulia tu na Mr. Available na itakula kwako