True...... very true........

True...... very true........

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
attachment.php
 

Attachments

  • life.jpg
    life.jpg
    51.2 KB · Views: 989
ingekua inawezekana,ningekuomba ui foward hii kwa jamaa yangu mmoja may be ingemletea BIG RESULTS NOW kwenye familia yake manake akitoka asubuhi amechelewa ni saa moja kamili yupo ofisin na akirud amewahi ni saa 4 uck,hanywi wala havuti yana ni office jihad kabisa.
 
very true kufanya kazi kupita kiasi hadi unasahau kujihudumia ni kutafuta kifo mapema
time table and priorities maisha mafupi haya lazima tuenjoy kidogo
 
Chukua hii thread umtumie Mkuu labda anaweza kutafakari kwa kina na kuamua kubadilika na kuachana na hii tabia.

ingekua inawezekana,ningekuomba ui foward hii kwa jamaa yangu mmoja may be ingemletea BIG RESULTS NOW kwenye familia yake manake akitoka asubuhi amechelewa ni saa moja kamili yupo ofisin na akirud amewahi ni saa 4 uck,hanywi wala havuti yana ni office jihad kabisa.
 
Pole sana Nivea sijakususa bhanaaa ni kughafilika tu, nakushukuru sana kwa kunistua lakini. Salaam nyingi kwa mama m........wa kweli lol!!!!! na wengine wote hapo home. I'll try my level best to keep in touch.

Have a great weekend 🙂🙂




BAK unajua nimekumis lakini kwanini umenisusa?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Nivea sijakususa bhanaaa ni kughafilika tu, nakushukuru sana kwa kunistua lakini. Salaam nyingi kwa mama m........wa kweli lol!!!!! na wengine wote hapo home. I'll try my level best to keep in touch.

Have a great weekend 🙂🙂



hahahahahahhahaah BAK bwana nilijua tu utanisindikiza kwa kamuziki ungenipa kale ka SHINE BRIGHT LIKE DIAMONDS-RIHANA nakapenda sana haka hahahaahahah ila umepatia sana uwe na weekend njema BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
LOL! Ahsante sana Nivea nilitaka kukuwekea stay lakini nikaona nikuwekee Don't stop the music ili ikurushe roho na kukuweka katika mood ya kuianza weekend vizuri.





hahahahahahhahaah BAK bwana nilijua tu utanisindikiza kwa kamuziki ungenipa kale ka SHINE BRIGHT LIKE DIAMONDS-RIHANA nakapenda sana haka hahahaahahah ila umepatia sana uwe na weekend njema BAK
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom