Pombe ikizidi ni mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pombe ikizidi ni mbaya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Sep 23, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Mlevi kamkuta mlevi mwenzie analia nje ya baa;
  KOLU: We vipi tena unalewa mpaka unalia? Au umeishiwa hela ya kunywa nikakununulie?
  DOLU: Nimejitapikia, mke wangu mkorofi nikifika atanidunda sana.
  KOLU: Tumia akili, chukua noti ya alfu kumi, weka kwenye mfuko wa shati, ukifika hom mwambie mkeo kuna mlevi alikutapikia akakulipa alfu kumi kaweka kwenye mfuko wa shati akiiona atakuelewa.....DOLU ak
  akubali kisha akaelekea kwake, alipofika mkewe kumuona tu;
  MKE: We mshenzi, leo umelewa mpaka umejitapikia, utanitambua.
  DOLU: Subiri mke wangu kuna mlevi alinitapikia akaniomba msamaha akanilipa alfu kumi iko kwenye mfuko wa shati....MKE akaingiza mkono kwenye mfuko akakuta shilingi alfu ishirini.
  MKE: We si umesema alikulipa alfu kumi mbona kuna alfu ishirini?
  DOLU: Unajua kwa bahati mbaya aliniharishia pia kwa hiyo akaongeza hela
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hahahaaaa... Ulevi noma!
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Chezea chang'aa wewe
   
 4. shoga kidawa

  shoga kidawa Member

  #4
  Sep 29, 2013
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningeuaaaaaa
   
 5. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2013
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,405
  Likes Received: 81,482
  Trophy Points: 280
  Alihajiharishia au watu walijipendelea mgongo??
   
Loading...