vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,825
- 1,307
Madadii na mashostito. Leo tunasherekes birthday ya Heaven on earth pale Chawote Bar. Usiku tunaenda kuumalizia zero Pub maandalizi yote yanaratibiwa na Baba V.
Pale Chawote muwe makini na mizigo yenu kuna dada anaitwa eliza amemhamisha my Brother Asprin Nyumbani.
Teamo na Kaizer Naomba muwape wadau direction.
Pale Chawote muwe makini na mizigo yenu kuna dada anaitwa eliza amemhamisha my Brother Asprin Nyumbani.
Teamo na Kaizer Naomba muwape wadau direction.
Last edited by a moderator: