Tuwajuze walewale wa siku zote

Tuwajuze walewale wa siku zote

Medaboy

New Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hasira yaweza panda ukapiga mtu kofi kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi twaweza kusema ndio.

waweza kumpiga kofi mama kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi walisema hawawezi hata kama wana hasira kiasi gan!

Bila shaka napata ujasiri wa kusema japo hasira kuna kipaumbele pia. na hivyo kuna watu wa hivyo hivyo tu siku zote niki maanisha kufanya vitu makusudi kwao ndio mpango .
 
Nahitaji tafsiri kwa kizigua labda naweza elewa

cc: kabanga
 
Last edited by a moderator:
Hasira yaweza panda ukapiga mtu kofi kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi twaweza kusema ndio.

waweza kumpiga kofi mama kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi walisema hawawezi hata kama wana hasira kiasi gan!

Bila shaka napata ujasiri wa kusema japo hasira kuna kipaumbele pia. na hivyo kuna watu wa hivyo hivyo tu siku zote niki maanisha kufanya vitu makusudi kwao ndio mpango .

Naombeni msaada wa "google translator"
 
Back
Top Bottom