Kama tendo la ndoa chungu

Kama tendo la ndoa chungu

Stahmy Junior

Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
82
Reaction score
16
Hivi jamani laiti kama unapofanya tendo la ndoa ungehisi uchungu kama wa shubiri na sio utamu.

Je wangapi wangediriki kufanya ngono?
 
Simpooo....!kam ingekua hivyo basi shubiri ingekua tamu kama tendo la ndo.
so tungekula shubiri, alaf ungetuuliza "hivi ma shubiri ingekua chungu kama tendo la ndoa nan angeila"??
 
mia mkuu
 
sahihi kabisa tena ingelambwa asubuhi mchana na usiku hadi makazini.
 
Simpooo....!kam ingekua hivyo basi shubiri ingekua tamu kama tendo la ndo.
so tungekula shubiri, alaf ungetuuliza "hivi ma shubiri ingekua chungu kama tendo la ndoa nan angeila"??

Kweli kabisa ni sawa na kusema hivi macho yangekuwa kwapani tungeonaje????

Simple tungekuwa tunatembea makwapa yapo juu tu.
 
Majibu mazuri sana wangetupa wanywa gongo na Wavuta bangi!Kila kitu ni kitamu inategemea unakichukuliaje tu!
 
Simpooo....!kam ingekua hivyo basi shubiri ingekua tamu kama tendo la ndo.
so tungekula shubiri, alaf ungetuuliza "hivi ma shubiri ingekua chungu kama tendo la ndoa nan angeila"??

He he he dah ukigeuza hvy n simpo kama unavyodai sasa rejea swal na uljbu kama lilvyo
 
Tatzo wabongo tunapenda kurahcsha v2 swal dogo tunaleta complication kibao,mlioshndwa majibu nahc n wazinifu wa kuaminika au vp wadau?
 
Majibu mazuri sana wangetupa wanywa gongo na Wavuta bangi!Kila kitu ni kitamu inategemea unakichukuliaje tu!

nimependa hiyo statement,copz kuna philosopher alisema 'there is nothing bitter unless u think it is xo'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom