Una mtext mtu afu ananzisha maongezi yeye eti umepotelea wapi?? Yaani kukutext nianze Mimi halafu unanigeuzia kibao eti nimepotea!! Hivi hii kauli imeekaaje wadau??
Maana badala ya kusema za masiku uhali gani... Anakuuliza umepotelea wapi wakati Mimi ndio nimenyanyua wakwanza videlo vyangu nakutext