Kama kawaida: Nime copy na ku paste

Kama kawaida: Nime copy na ku paste

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
[h=5]Ilikua ni darasani mwalimu akatoa jaribio kwa mfumo wa Insha! Na hakuna kufuta futa!
Swali la kwanza; "Eleza ni chakula gani ambacho ukilipiwa hotelini unaweza kula! (5 marks)
Wavulana; "Ugali, wali na mihogo!
Wasichana; "Egg chop, Pizza na Burger!"

Swali la pili; "Elezea namna vyakula hvyo vinavyopikwa hatua kwa hatua! (95 marks)
Wavulana wao swafi, wasichana sasa! Walivyofuta sasa adi huruma. . . . . ![/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom