Eti wanawake...................... ..!

Eti wanawake...................... ..!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
wanawake...............jpg

hihihihihiihihihihhhhhhh teh teh teh.......................!
 
Hii week hii wamepangiwa mpango kabambe wanawake!!
 
inategemea mtu na mtu ss!
some wanapendeza wakitokelezea natural and some hadi layer 7 uko lolz!
 
wanawake again LOL hii wiki ni ya wanawake i guess,sijui ya wanaume lini jamani.
 
Duh!Wanawake watakoma mwaka huu!Naona kinatoka kitu kinaingia kitu!!!!
 
Kuanzia leo tar 24-10-2013 mpaka tar 24-12-2013 sitafungua thread yoyote inayoonekana kuzungumzia wanawake especially nikiona imeanzishwa na mwanaume tena jukwaa MMU.
 
Wanawake wanawake Kila kitu na kila siku ni wanawakeNi kwa sababu wanaume ....................Angalia Sahihi (Signature) yanguBazazi
 
Kuanzia leo tar 24-10-2013 mpaka tar 24-12-2013 sitafungua thread yoyote inayoonekana kuzungumzia wanawake especially nikiona imeanzishwa na mwanaume tena jukwaa MMU.

Nakuunga mkono,,,,,, hii itasaidia kupunguza wapenda sifa!.
 
Kuanzia leo tar 24-10-2013 mpaka tar 24-12-2013 sitafungua thread yoyote inayoonekana kuzungumzia wanawake especially nikiona imeanzishwa na mwanaume tena jukwaa MMU.

Nakuunga mkono,,,,,, hii itasaidia kupunguza wapenda sifa maana hawatapata support.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom