Toa ushauri kwa Grolia hapa

Toa ushauri kwa Grolia hapa

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani. Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengeza gari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko na chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?.
Gulolia
Jibu
Dear Gulolia,
Hujambo? Mumeo hajambo? Nimesoma vizuri barua yako na naweza kukushauri ifuatavyo, kwa kusema ukweli gari kuzima ghafla linaweza likawa limesababishwa na mambo kadhaa, aidha betri haichaji, au petroli imekwisha au fyuzi imekatika Ni vizuri ukaanaza kuangalia kama filta ya petroli ni safi na jaribu pia kucheki plagi. Nategemea jibu hili litakusaidia
Anko Kitime

Hahahahaha, Anko kitime si Mzima wewe. Duh
 
aha ha ha ha ha! tatiz0 GULOLIA alikua na maELEZO meNG hi0 ndio yake... nhi nhi nhi nhi nhiii
 
ushauri bomba sana. pia. aiwahi gari asiibiwe huko njiani
 
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani. Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengeza gari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko na chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?.
Gulolia
Jibu
Dear Gulolia,
Hujambo? Mumeo hajambo? Nimesoma vizuri barua yako na naweza kukushauri ifuatavyo, kwa kusema ukweli gari kuzima ghafla linaweza likawa limesababishwa na mambo kadhaa, aidha betri haichaji, au petroli imekwisha au fyuzi imekatika Ni vizuri ukaanaza kuangalia kama filta ya petroli ni safi na jaribu pia kucheki plagi. Nategemea jibu hili litakusaidia
Anko Kitime

Aah!! Ushauri huu ni kiboko cha reli.
 
Achana naye huyo malaya...kama una uwezo wa kijimudu kimaisha sioni sababu ya nyinyi kukaa pamoja
 
Ha ha ha!
anko kitime kaona isiwe tabu!
amshauri jinsi ya kutengeneza gari.
hahaha
 
Back
Top Bottom