Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viol, Oct 23, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban
  King'asti najua
  1.utamsifia Paw
  2.itakuchukua mda kureply hi thread.
  3.unaweza usinijibu

  @Cacio jamani naomba mwambie King'asti nampenda sana. charming Lady jamani nampenda King'asti Bujibuji naomba uwe mshenga. Nicas Mtei nibembelezee nampenda kweli huyu mrembo
  [​IMG] Paw kama kweli unampenda king'asti naomba upoteze jina la Excy humu JF...usipofanya hivo huna upendo wa kweli kwa King'asti.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yereuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
  Angalieni msije kujikariakoo humu wajameni!!

  Ila umetumia haki yako ya msingi kijana..
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Halafu King'asti anamsemaga Roulette hatongozeki,
  Ngoja nawe leo nikusikilizie!LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Love isn't a decision, it's a feeling. If we could decide who to love, then, life would be much simpler, but then less magical.
  I love you King'asti bby,give me ur love mana nipo in love na wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wagomvi kuliko alshabaab! Mmmh!
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kipipi yani King'asti ananionea kwa vile anajua nampenda,bby King'asti sina ubishi,mi nataka tu kuwa na wewe,hasa pale unaponipa ushauri,halafu na mimi nakupa ushauri,usipokubalina nakubaliana ,jua kiss cha umpendaye ni raha ya mda ila mi nitakupa zote.Unapolalamika natibu jeraha zako,nakuangalia machoni ukiwa na huzuni nakukumbatia,nakuangalia machoni King'asti we ni kama wimbo wangu bby,nipo serious,unaweza usiniamini ila nataka nikupulize manukato
  yenyewe harufu tamu,utanitosa na kusikiliza uzushi wao,wakikutenda wala usiogope,mi nipo ambaye ni Alfa na Omega,nakupenda King'asti.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Bby kama kukupenda ni dhambi hata siungami,kama ni laana heri niteketee tu niwe majivu
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0

  Heheeheee.......karoho kako kanakwendaje??

  Night good.....am going to sleep now!
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0

  Komaa mwayego....mpaka kieleweke!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  napenda macho yake,pale anapolia nafuta machozi yake halafu nampa kiss kisha namkubatia kifuani huku nimekushika kiuno
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  King'asti
  najua umelala bby
  "Absence is what sharpens love, and presence is what strengthens it."
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mwanangu unamashairi utadhani Marijani Rajabu! Tiririkaaaaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Weweeee, unataka kunichonganisha na Roulette eeh.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hajui wewe umeokoka na unampenda sana Yesu, muombee kwa Bwana Yesu pepo hilo limtoke tehe tehe. Mzima lakini King'asti wa watu????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Weeh unashabikia mwenzio kiroho kinadunda hapa Paw akiamua ku-chop of my chop chop money. Nikipokonywa ile debit card ntaumbuka mjini mwenzio uwiiii.
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Unatafuta umaarufu
   
 18. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Excy unashndana na Paw? Utaweza kumng'oa King'asti kwa Paw? Naogopa kusema lolote. Ila kaza buti mwana. Kitaeleweka.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha, sasa hayo mashairi hayakuti ya Paw! Unajua Paw ana undugu na mrisho mpoto¿
  hapa nimeshaanza kufunga na kuomba kwa ajili yake. Kuna roho la ukimwi linamsakama. Hajaleta zaka tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160

  King'asti amua 1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...