DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 444
- 654
Simu inaita binti anapokea: Hallo mpenzi, mambo?
Jamaa upande wa pili: Poa baby, uko wapi? Mimi niko
town napata lunch.
Binti: Wow! Nice. Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear
nataka uniletee msosi.
Jamaa: Narudi baada ya nusu saa. Nikuletee nini?
Binti: Niletee chipsi kuku, mayai manne yakaangwe
pembeni, baga, pizza ya samaki waweke mayonaize,
koka take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile
bekari ya wapemba na maji ya kunywa.
Jamaa: Umesahau viti, meza, leseni, masufuria, sahani
na vijiko.
Binti: Why mpenzi?
Jamaa: Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli au
mgahawa kabisa.