Ladies.!!Are You Still SINGLE??RELAX..!!Your BF Has Not Yet Been Born!!CLICK UJIONEE

Ladies.!!Are You Still SINGLE??RELAX..!!Your BF Has Not Yet Been Born!!CLICK UJIONEE

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,918
Hi MMU Attendants!! Check Hawa Celebrities: MADONNA Is 55 Her BF Is 22,TINA TURNER 75 Her BF 40,JLO 42 Her BF 24!!!
 
Cc Kubwa la maadui Smile ita wenzio huku ili warelax...!!
 
Last edited by a moderator:
What about Single men? ina maana girlfrend zet walishazaliwa wanatusubiria kama bibi mbunge?
 
Mnanisema eeh... Mimi ni yule mume wa mbunge(bibi cheka) Ng'ombe hazeeki maini Lol
 
Hahaha!Bibi Mbunge 60 Her Husband 26!! Nahisi imekaa poa!

Weka majina yao,mbona hao umeweka majina yao?Hamna siri hapa,wangetaka siri wasingefunga ndoa kwa shosti wake Dr Lwakatare!Alafu samahani lakini nitakaowakwaza hivi huyu mama Lwakatare anapokuwa anawaombea watu waolewe,waishi vema na waume zao,ndoa zao zidumu,hivi yeye hataki tena mume?!!
 
Kudate mtoto wangu siwezi,,,,, i know mpenzi wangu yuko somewhere bado tu hatujakutana!!!!!!!!
 
Hao wote uliowataja wao ndio waliowaoa hao vijana...
 
bibi mbunge ndo nani?na km ni mwanamke inabidi uwe na pesa za kutosha sn ili uwe na huyo kijana la sivyo bora utafute wa size yako bado mapema kuliko kusubiri ukijua bado hajazaliwa wakati pesa huna
 
Dah! Maza fanta! Salaleeeee! Huyo tuna na 75 yake kaamua kuopoa wa 40? Ilaaaaaa
 
Back
Top Bottom