Salaam!
1.Huyu yupo katikati ya ngazi kasahau kama anapanda ama anashuka
2.Huyu upo kitandani kasahau kama anataka kulala ama kuamka
3.Huyu chupi ipo magotini kasahau anavaa au anavua
4.Huyu yupo chooni kasahau anajisaidia haja ndogo ama kubwa
5.Huyu kasahau jinsia yake mpaka avue nguo
NANI MSHINDI?????
Wasalaam salaam Toria!

Last edited by a moderator: