jamaa aliharibikiwa na gari kijijini akapewa hifadhi,baada ya kuoga na kula.MZEE:"sasa huyu mgeni alale wapi?" MKE: "saa hizi ni usiku akalale na bebi tu!"jamaa akakwepa usumbufu wa bebi kukojoa...
Nimekumbuka sana jamaa alipokua anamuigizia prof lipumba mara baada ya uchaguzi wa igunga ........... " ukisoma kitabu cha pamela na kipini, ukasoma kitabu cha mzee tola anakula gizani, ukasoma...
Rasta alienda kumgongea Msela Geto ili walale,kugonga akaulizwa:We nani?
Akajibu:Rasta Farrai,Jah bless King of Haile Sellasie,Jah man Gwan Man bum bum peace&Love forever nigga.
Msela...
Kweli ualimu ni kazi:
MWALIMU:Tunga sentensi kwa kutumia neno
"TUMAINI"
MWANAFUNZI:"tumaini twa kuku tutamu kuliko
tumaini twa mbuzi"
Nakutakia usiku mwema
Habari wana CC!!!!!!!
Napenda kuwataarifu kuwa mwenzetu Arushaone ni mgonjwa anasumbuliwa na Pneumonia, kusema ukweli tangu juzi hakuwa katika hali nzuri kiafya japo tulikuwa tukishirikiana nae...
Hamjambo marafiki
Jamani sijajisikia kuwafurahisha wala kuwachekesha hapa bali
niko serious kabisa tena sana natafuta mtu wa jinsia yoyote
sichagui wala sibagui ila awe mwembamba kiasi chake
na...
Wish you a very happy birthday Mzee wa Rula
May life lead you 2 great happiness
success and hope that
all your wishes comes true!
enjoy your day
CC Arushaone, Blaki Womani, Preta marejesho...
it's September 26 again which means I am another year older!!!!!!!!!!HAPPY BIRTHDAY ME.......
Namshukuru mungu kwa kufikia siku ya leo...,I feel so good to be around my family
and Friends most...
Kitendawili tega nikutege? Ni mnyama gani anaye lia au kutowa Sauiti kwa kupiga makelele?
Jibu lake chaguwa moja kati ya haya 4
(1) n'gombe?
(2) punda?
(3) farasi?
( 4) fisi?
Kudadadeki mapedeshee wa humu mnatuonea sana sisi wanyonge, kila vimwana wazuri mnao ninyi tu kisa mnamwaga pesa na kuhonga vitz na rava four,,,,,,,,,sasa kabla sijaibuka na kimwana matata humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.