Kazaneni kuperuzi hapa .

Kazaneni kuperuzi hapa .

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Na kisha mkishakazana kuuperuzi Uzi wangu , mnipe ushauri wenu .

Ili iitwe jamii ni lazima pawe na watu wenye silka tofautitofauti .
Waungwana , washenzi , wahuni, wezi , mashoga , vibaka , mabasha , wasagaji etcetera wote ni sehemu ya jamii .

Pia lipo kundi la waombaji , as known as "wapiga mizinga"
Uombaji nao umegawanyika .
Wako waombao ndani na nje ya majengo ya ibada , mabarabarani n.k

Wapiga mizinga wao aghlabu kuwapata wametega nje ya worship premises , ingawaje ukikutana nae ndani ya mjengo na uko kunako 18 anakulipua!
Aidha mpiga mzinga anaweza kucheza pia na nyumba kwa nyumba , ili mradi awe anawafahamu anaowalipua.

Jana kanitokea hom mpiga mzinga , habari ikawa :-
> M'mzinga "Braza mambo? Nakuona umechana , shavu dodo ninii "
> Mimi
"Mi poa tu mtu wangu , nambie mitkas ?"
> M'mzinga
"shwari tu , bro mi sijauona tangu asubuhi , ndo nikaona nipite pande hizi walau buku mbili poa"
> Mimi
"Mtu wangu siko njema leo , nna komitmenti kibao kwa leo niache"
> M'mzinga
"Babaake hata msosi uliobakibaki nijali tu haina noma"
> Mimi
"Si unaona humu ndani kuko kimya! Maa'mwenyenyumba yuko tripu , mi nakula hoteli , pikapika inan'shinda"
> M'mzinga
"Duuh mkubwa mbona unanibania kiivo? Nijali basi hata jeans mbovumbovu nikaimalizie"
> Mimi
"Jeans mbovu kwa sasa sina, kuna dogo alipitanazo muda si mrefu"
>M'mzinga
"Sasa braza pesa huna! Msosi huna! Nguo huna!
Hapa hom unakaa kusubiri nini?
Si fatana namimi tukapige misele ya kupiga mizinga mitaa ya mbele?"

Swali .
Nini ushauri wako kwangu?
Nifatane nae au?
 
Nenda shule ck hizi mpaka DV5

Asante kwa ushauri , nitaenda! Naimani umesoma sana?
Elimu yako ni hadi la ngapi ?
Hata hiyo Div.5 siifahamu maana yake!
Ni kikosi cha J.W.T.Z au?
Ama ni aina ya dawa za hospitali? Nijibu kwanza hilo then nikuulize na mengine , unifundishe.
Nimeshanufaika na maticha wa mtandaoni sana tu!
 
dharau mbaya sana!!
hasa pale unapoi apply kwa mtu usiyemjua..

much gud umekutana na mtu mwenye busara..

Kamanda pole na kampeni! Midamida nitatinga kwenye nomination , nikatende haki.
Huyu jamaa nasubiri elimisho lake, bt naona kaingia mitini .
Namtamani kaa'nyama ya kuchoma!
 
Kamanda pole na kampeni! Midamida nitatinga kwenye nomination , nikatende haki.
Huyu jamaa nasubiri elimisho lake, bt naona kaingia mitini .
Namtamani kaa'nyama ya kuchoma!

hawezi rudi hapa kwani keshashtuka kuwa kaingia cha kike..
ebwana kule kwenye u miss kwa sasa mi nshamaliza! aliyewakwangu kashaingia top5.
Tutakutana kwenye poll, ambapo ndiyo patamu..

Wadau Excellent, sixgates njooni huku mwombe mapendekezo..
 
Last edited by a moderator:
hawezi rudi hapa kwani keshashtuka kuwa kaingia cha kike..
ebwana kule kwenye u miss kwa sasa mi nshamaliza! aliyewakwangu kashaingia top5.
Tutakutana kwenye poll, ambapo ndiyo patamu..

Wadau Excellent, sixgates njooni huku mwombe mapendekezo..

Mpaka hatua hiyo unastahili pongezo.
Congra!
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hatua hiyo unastahili pongezo.
Congra!

Naanza kufanya maandalizi ya nguvu mtu wangu!
itakuwa mwendo wa chopa, bodaboda ma buldoza, makatapila n.k kupiga kampeni kila kona..
Ushindi wa kwenye poll unahitaji nguvu kweli kweli..

Ila naamini shansarie atapata makura kibao..
Coz ndiye miss anayestail..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom