JF Chit-Chat imejaa FAKE PEOPLE

JF Chit-Chat imejaa FAKE PEOPLE

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2010
Posts
614
Reaction score
237
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
 
KWELI FAKE PEOPLE WAPO WENGI SANA MMOJAWAPO myao wa tunduru
 
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
sidhani
 
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......

Mantik hapa nini ? Excuse me!
Unaweza ukasherehesha zaidi kidogo?
 
Ukisikia hatare ndoo hii wwewe uliona wapi siasani ikajigonga chitchat?
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
 
Achana naye ameshabamizwa kule siasani anakuja kupumulia huku na kutoa stress zake
akipona tu atarudi kule kule alikotoka hajui kuwa hapa chitchat kwa kwenda mbele
Mantik hapa nini ? Excuse me!
Unaweza ukasherehesha zaidi kidogo?
 
Hajamaliza story yake ngoja arudi kwanza ataendelea kutuambia anamaanisha nini Judgment; Excellent na Lady doctor na Dena Amsi (nakumiss wewe)

Swahiba nambie! Cha kushangaza mazee muda huu nina cocentrate na 3 issue!
1. Naangalia chnl 10 match ya Simba & Mtibwa.
2. Naangalia Tbc Bunge .
3. Na niko Jf .
Amini usiamini nadeal nayote sanjari !
 
Last edited by a moderator:
Swahiba nambie! Cha kushangaza mazee muda huu nina cocentrate na 3 issue!
1. Naangalia chnl 10 match ya Simba & Mtibwa.
2. Naangalia Tbc Bunge .
3. Na niko Jf .
Amini usiamini nadeal nayote sanjari !

Swahiba Judgment wewe una raha sana zaidi zaidi ya ofisi na JF hapa bado nang'aaa macho kwenye computer kumaliza vikazi hapa
 
Last edited by a moderator:
angeelezea cheo chake,au angepost na jina lake halisi,utashangaa kesho kafukuzwa kazi na boss wake,hajui huku kuna mabosi
Ntavunja record na ninadhani itakuwa mara ya kwanza boss kujifukuza kazi katika kazi yake mwenyewe
 
Ni nani amekuuliza. Kwa lugha ingine kwani we nani kwani.
 
Back
Top Bottom