Familia ya Chit-chat, naombeni muni-adopt..

Familia ya Chit-chat, naombeni muni-adopt..

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,673
Familia ya chit, naombeni muni asili katika familia yenu. Naipenda sana chitchat, naamini nimepokelewa kiroho safi. Waliopo kwenye kampeni nawatakia kila la kheri.
 
Hujachelewa!
Karibu.
Unategemea lini utarejea kwenu ulikotoka?
 
Familia ya chit, naombeni muni asili katika familia yenu. Naipenda sana chitchat, naamini nimepokelewa kiroho safi. Waliopo kwenye kampeni nawatakia kila la kheri.

Ok,,,,,,,,umesomeka.
 
karibu Sixgates. Sio mbaya mgeni nikikukaribisha mgeni mwenzangu
 
una mchumba au mke??tuanzie hapo
 
una mchumba au mke??tuanzie hapo

Haaaa amu kuna mtoto wa kibondei kanifanya kidumu. Nasugua bench huwa ananiingizaga uwanjani kwanzia dakika ya 80, najitahidi labda kuna siku ntacheza dakk zote tisini.
 
Last edited by a moderator:
chumbani kuna simba wa Yuda

Acha kumung'unya karanga!
Mnyooshee mgeni maneno!
Ndondo umelianzisha mwenyewe , dogo anashusha chururu! Ya mistari husomeki !
Unaanzisha lele! Unashushiwa goma!
Wewe nadhani unachotafuta mgonjwa asinyanyuke haraka au?
 
Back
Top Bottom