Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.

unanikumbusha Aisha wa iringa,kuna siku alikuja gheto na simu ya kakaake,akajibip kwa ku2mia cm yangu,likatokea neno 'kenge' kwenye kioo cha cm!kilichoendelea najua mwenyewe....
 
nimemsevu 'low betri' afu na kamlio nimemchagulia kakizushi, then sim ikiita wife akiona huwa ananiwekea kwenye chaja anajua ni kweli low betri kumbe kidosho
 
Da! Umenikuna, juz nilitrace cm ya mpenz wangu nilichokiona wakat inaita ni katuni imekuwa displayed ikiwa haina jina ni namba tu, Niliboreka sana.
 
Kwani hata mkijaribu kuficha kwa majina ya ajabu ajabu hivyo mjue tu dunia haina siri lazima siku moja mtaumbuka kama siyo ukimwi utawaumbua
 
Nimejaliwa kitu kimoja katika akili yangu,hata mwanamke nimpende vipi,lazima jina alilopewa na wazazi wake ndo liwe kwenye simu yangu.

Kufake name haina nafasi kwangu.
 
Back
Top Bottom