Unayakumbukaje haya makundi?????????????????

Unayakumbukaje haya makundi?????????????????

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu bhana!!!!!!!

Miaka ya nyuma hivi kulivuma makundi yafuatayo:-

1. Backstreet Boys
2. Boys II Men
3. Westlife
4. N-sync
5. Boyzone

Mie nakumbuka nilizitumia nyimbo zao kama dedication kwa wapendwa wetu... Hakuna ambaye hakuwahi kumdedicate mtu wimbo wa My Love by Westlife. Hahahaaaa...

Ila haya makundi sijui yalifia wapi??

Hebu tupia wimbo ambao ulikuwa unauzimikia katika haya makundi!!!!!!!!
 
Hao westlife walikuwa komesha. hawakuwai kutoa wimbo mbaya.

Nnsyc niwajulia sana sana kwenye This i promise.
 
Hao westlife walikuwa komesha. hawakuwai kutoa wimbo mbaya.

Nnsyc niwajulia sana sana kwenye This i promise.

Umeona eeeh... yaan bila kumdedicate kichuna wako wimbo wa Westlife malavidavi hayajaenda!!!!
 
Boys II Men nawakubali sana..
 
Raha ya wstlife nyimbo zao fupifupi so ni rahisi kukariri

Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!
 
haya makundi yalinifanya nimkose mwanamke mmoja,maana baada ya kumtokea akaniambia niimbie wimbo wowote wa Westlife ndipo nilipofeli.
Nalog off
 
Daaah.... Sis umenikumbusha enzi hizo kitu cha uptown girl ya westlife ikipigwa mie sikai chini ati kipindi hicho niko zangu primary hata kutamka (kidhungu) vizuri kinachoimbwa sijui ila naimba tu bora liende huku nikidance kwa kurukaruka.
 
West Life ni noma kwa makundi ya hizo nyumbo

ila kwa mtu mmoja Philip Collin ni noma zaidi
 
Raha ya wstlife nyimbo zao fupifupi so ni rahisi kukariri

Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!

Teh teh teh.... O level bila kuwa na counter book la nyimbo shule haijaenda!?
 
Daaah.... Sis umenikumbusha enzi hizo kitu cha uptown girl ya westlife ikipigwa mie sikai chini ati kipindi hicho niko zangu primary hata kutamka (kidhungu) vizuri kinachoimbwa sijui ila naimba tu bora liende huku nikidance kwa kurukaruka.

Teh teh teh.... Sis usinambie enzi hizo ulikuwa primary, hebu nipe shikamoo zangu fastaaaaaaaaa!!!!!!
 
Raha ya wstlife nyimbo zao fupifupi so ni rahisi kukariri

Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!

acha umenikumbusha mbali maza alikuwa anachoma madaftari yangu ya nyimbo nikienda shule nikirudi nnalingine boding prep badala ya kusoma nikuandika nyimbo
 
Back
Top Bottom