For you

Ngoja niende Inglish koz kwanza....

Sie tulosoma shule za kata tukaishia form two B tunateseka jamani.... Khaaaa!~!

Hahaahaahha mwalimu wa kieengereza akiwa darasani wewe unasinzia unaona sasa wahangaika lol...
 
Waeza jitolea ukawa ewe mwalimu wangu, ukanisaidia upungufu wa vokabulari kwenye oblangata yangu ewe binti mrembo na mwalimu farkhina?? Twishen fiiz tutakubaliana wakati wa mafunzo.... bahati nzuri ie si mrushi kiviiiiiile...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mafunzo yako unafundisha kibaguzi. Mi hupendelea kukaa mbele, usije ukanambia siti za mbele zimejaa. Ntaendelea kukitukuza Kinyerere chetu.

Hutaki kuelewa wewe, au bia tisa tayari?
 
Waeza jitolea ukawa ewe mwalimu wangu, ukanisaidia upungufu wa vokabulari kwenye oblangata yangu ewe binti mrembo na mwalimu farkhina?? Twishen fiiz tutakubaliana wakati wa mafunzo.... bahati nzuri ie si mrushi kiviiiiiile...

Hahahaha mie mwenyewe nasoma twishen ya kiswahili kwa watu8...
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niende Inglish koz kwanza....

Sie tulosoma shule za kata tukaishia form two B tunateseka jamani.... Khaaaa!~!

Asavali na nyie za kata!
Walau kata huhamishwa flom wan pointi tu anaza!
Kazi iko kwa sie tuliosoma Shule za Mtungi !
Mtu uliposimikwa ndy hua umefika!
 
Yaani shemeji?? Nini kigumu hapo shem??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom