Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011.
Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil...
Ni misemo ambayo huwa tunaelewana sisi tu wa ofisi moja, wa kuja huwezi kuelewa... Kwa mfano ukisikia kuratibu tunamaanisha ku-do , na wewe share swaga za ofisini kwenu tu enjoy pamoja..
Wageni wengine noma.
CHEKI HIII...
MWENYEJI; Utakunywa soda au chai?
MGENI; Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
MWENYEJI; Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
MGENI; Nipe...
Jamani kwa nini mitandao mingine ya kijamii itushinde Wakati sote twaipenda JF?
Mpigie kura Lady Doctor ili ashinde taji la Miss JF ChitChat pale Ubungo Plazza siku ya tarehe 12 mwezi huu.
CC...
Yani leo imekaa vibaya mno.. ukiingia jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko unaweza kupata life ban hivi hivi
Yani kuna michango ya kicengel mno leo
kule..!
Yani unaweza kukibonda kisim...
A Nigerian man and white American guy were
seated on plane. The Nigerian man had to a
bunch of banana, while the white American guy
had a pet monkey.
The Nigerian man wanted to use the...
Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani.
Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli?
cc Filipo Kaizer figganigga @bagger
''SERA YA MAPENZI"
MIAKA YA:
1986-1990.
NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!
MIAKA YA:
1991-1995.
NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!
MIAKA YA:
1996-2000.
NIMEKUBALI lakini sitaki...
Hivi mtoto ni wa BABA au ni wa MAMA? Cheki kisa hiki....
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili HAKIMU aamue nani akae na mtoto!
MUME; Akasimama akauliza hivi "Hakimu hivi nikichukua...
Note : Story ni ndefu kiasi , kama una haraka kula kona .
Ni imani yangu wana wa bodi , wadau mko poa kifizikali , kispiricho , kifainensi etcetera .
Baba Shani na Mama Shani wameishi ndoani...
Hivi majuzi wanaohusika na media walitutangazia kua Fundi mmoja wa Tanesco , akiwa ktk majukumu yake ya kazi maeneo ya Kigamboni , aliripukiwa na Transfomer.
Na kwamba kilichofatia Fundi...
Application for employment:
"Dear sir, I refer 2the recent death of the technical manager at your company & wish to apply 4the replacement of the dead manager.
Each time I apply the...
.............
.................
.....................Mrembo Mwali takribani week sasa umekua ukionekana katikati ya ndoto zangu........na unanichanganya pale unapokuwa umevaa mavasi ya kibantu...
Nililala nikaota mtu anasema eti Tanzania imetokana na Tanganyika na visiwa vya Zimbabwe na Pemba nikashangaa sana maana sikutegemea mtu kama yule kwa nafasi aliyo nayo katika mtaa wetu.
Ndoto ya...
CHEZEA PANGA WEWE!!?? Jamaa1 aliingia msikitin na panga mkonon huku jasho likimtoka, akauliza"nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akurudia tena "nauliza nani muislamu humu au...
Ni kwa neema tu,
Salam wakuu. Leo kwa mapenzi mema ya Mwenyezi Mungu, hatimaye basi nami nakua natunukiwa shahada yangu ya kwanza pale Karimjee Hall. Japo nimechelewa kutokana na umri (LOL)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.