Ni mwaka 1 umepita tangia niporwe demu na brother yangu,Nilipokuwa kidato cha 3 nilibahatika kuwa na demu na nlipanganae nitamuoa wala cntamchezea nikaona bora nikamtambulishe kwa bro,bro...
Mshahara wako 260,000/=
hand bag yako 140,000/=
una drive gx 110
hills zako 140,000 n above
una tumia note 3
den unaenda kanisani kuomba mungu wakati wewe mwenyewe unatenda miujiza...
Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF.
Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki...
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa...
Shemeji .
Sisi familia still yet tunakutambua wewe ndiyo mume wa dada yetu .
Pamoja na hilo Shemeji , umekua ukimtesa mno dada yetu , na ukware wako .
Mara kadhaa mkeo katuletea mashtaka yako...
Rejea wakati Mungu alipotaka kuteremsha gharika , alimuamuru Nuhu atengeneze Safina , na kwayo aingie na watu wake waliomuamini , aidha na wanyama wake .
Safina ilipokua majini (baharini)...
Mimi nakumbuka enzi hizo nipo shule ya msingi mengeni pr school marangu namkumbuka sana mwalimu wangu kiwoli msimu wa mahindi ya kukaanga ukifika unakuta jamaa kakaanga karibu nusu rambo lol...
----- 1 alitoroka kazin nakwenda kwake kufika kwake alimkuta bosi na mke wake(mke wa -----)jamaa alipoona alinyata taratibu na kuridi mbio kazin alipofika kazin alishukuru mungu kwa vile hajaonwa...
uko club na dem wako mzuri tu!
mmecheza mziki sana tu mara mmekaa pande fulani hivi mmerelax.. dem wako ni mzuri sana ile mbaya!!!!!!
mara katokea jamaa kama huyu (kwenye picha), akamshika dem...
Masai kaenda kanisan kaishia nje PASTOR akauliza Yero mbona huingii unakaa NJE? MASAI akajibu Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!.
Marekani wakagundua kifaa cha kugundua wezi. Kikapelekwa Ufaransa ndani ya dk 15 kikabaini wezi 50. China dk 35 wezi 60.Brazili kwa saa 1 ikabaini wezi 150. Sasa kikafika bongo ndani ya dakika 5...
Nimeshuka vizuri tu pale Ubungo bus terminal na nikakutana na wenyeji wangu ambao walikuja kunipokea. Kwa kuwa walikuwa wanaishi mbagala na usafiri ulivyo wa mashaka ilituchukua masaa matatu...
Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011.
Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.