I hate politricks

I hate politricks

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Yani leo imekaa vibaya mno.. ukiingia jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko unaweza kupata life ban hivi hivi

Yani kuna michango ya kicengel mno leo
kule..!
Yani unaweza kukibonda kisim! Chako hivihivi au kukipasulia mbali na risasi kama huna uvumilivu
Leo kule sendi ...!
 
Siasani si kama mie sitiagi maguu kule , natia sana bt mijadalani staki kabisa .
Kule adabu , heshma na utu viko likizo , mathalan mtu awezakutana kuanzia waliokuzaa , dini uabuduyo , wewe mwenyewe akakuvua nguo .
Yanini yote kujitaftia !
Sikuja hapa Jf kutukanwa/kutukana .
 
Mr kabanga & mshana jr kidogo leo nimepata tashtiti , nimetia maguu kunako Siasa through jukwaa la "Habari mchanganyiko ...." kama mtajali taliini kule then mark Thrade "Weka taarifa yako toka mkoani , wilayani , tarafa kata ......." Nimewaripua wenye mapenzi na vyama vyao , kisha nikala kona .
 
Last edited by a moderator:
Nkwambie kweli mume wangu, nimechekea chooni.

Mana ungeniona ingekua kasheshe. Ha ha haaaaaaaa
Nisamehe bure mkewangu mpenzi shetani tu alinipitia nikasahau kukuita..ila trust me I was all alone..!
 
Ila jukwaa la siasa pamoja na jukwaa la hoja na habari mchanganyiko ni vioja tupu!watu wamewekeza nguvu nyingi kutetea siasa ambazo haziwanufaishi kwa chochote..ukipost kitu chenye msingi watu hawachangii aaah bora tufate misingi ya dictatorship!
 
Siasa bana; juzi tu watu walishikia bango ishu ya kinana na kuitukana sana ccm, ukijaribu kuwaambia waTz tuna akili za kuku tutasahau within 3days unaporomoshewa matusi balaa. Leo ile ishu imepotea kama haijawahi kutokea vile

Tuko era ya zzk kuvuliwa madaraka CDM nayo itapita kama upepo ndani ya week moja tu
 
Ni minyukano ambayo mingine haina maans kabisa halafu yale ya maana yanafanywa kama hayana maana vile
 
Mr kabanga & mshana jr kidogo leo nimepata tashtiti , nimetia maguu kunako Siasa through jukwaa la "Habari mchanganyiko ...." kama mtajali taliini kule then mark Thrade "Weka taarifa yako toka mkoani , wilayani , tarafa kata ......." Nimewaripua wenye mapenzi na vyama vyao , kisha nikala kona .
uwe unapita pita, unapata nyuzi bin nyuzi.....
 
Back
Top Bottom