Mtoko wa ijumaa

Mtoko wa ijumaa

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani.

Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli?

cc Filipo Kaizer figganigga @bagger
 
Last edited by a moderator:
Waungwana, Leo ni Tar 15 wengine tulishalizaga salary zamani.

Leo nina hamu sana ya windhock from Namibia. Nyie wanaume wote nitakosa wakunitoa leo kweli?

cc Filipo Kaizer figganigga @bagger

piga kwa namba yangu bado kuna vichench maiti vimebaki vinakutosha kwa mtoko waleo
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha mkiva kwa kichaga ni mtu mwenye shida.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom