JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji...
5 Reactions
159 Replies
7K Views
Mualiko wa KRISMASI: Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya KRISMASI nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
habari humu ndani i wish wote mko poa ni kawaida na ni desturi kwa watanzania kuwa na desturi ya kujumuika katika kipindi cha furaha na shida but nashangaa humu ndani tunashindwa kupeana mialiko...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama riziki popote fungua mgahawa chooni kama utauza!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenyu wadada na wakaka wa jf chit-chat na viunga vyake wahenga wanasema leo ni leo na msema kesho ni mchawi,namaanisha leo ni siku ya nyama choma vyoda na ndyoff bariidi kwakwenda front...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya sasa kaz kwenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu hawa wanatuumiza na kuturudisha nyuma sana
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama wewe ni mwizi usijaribu kuwaibia walimu hasa wa shule za msingi. Maana kuna jamaa alikwapua handbag ya mwalimu akakuta ndani kuna kalamu nyekundu, chalk, risiti za bank zinazoonyesha hana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wadau? Kwa upande wangu haikua njema kiviile kwani mfukoni nilikua empty mbaya zaid hata mwaliko nkakosa, nkaishia kushinda magetoni tu the whole day. Enhe hebu tujuzane kwa upande...
0 Reactions
7 Replies
791 Views
Nahitaji kujua jins ya kijiunga na whatsapp, pia jins ya kujirejista na magroup mbalimbali niweze kuchat na watu humu kweny jamii for,bado mgeni sana na vitu hiv nami navipenda. NISAIDIENI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani boxing day ndiyo imepita hivyo naona watu wanatoa mimacho tu,. Kama hukubahatika kupata zawadi siku ya jana ambayo ulitakiwa kuifungua siku ya leo unaweza kufungua hata mlango,..
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Kifuku kimefika
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Afisa uhamiaji akiandikisha majina ya wamawiya mpakani mwa Mtwara na Mozambique: Afisa: Karibu Tz, niambie jina lake kamili ili nikuandikishe na kukupa ruhusa ya kuvuka mpaka kuja Tz...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Happy boxing day wakuu, Japo so far sijareceive zawadi kutoka kwa mutu yeyote ile nimeamua kwenda sawa na kauli mbiu ya raha jipe mwenyewe nakuamua nigongekitu cha Noah (no offense kwa non-users):
0 Reactions
4 Replies
920 Views
*;%;* *;%;*;%;* *;%;*;%;*;%;* )!( (__) / / Jingle bell...! Jingle bell...! Jingle all the waY...! Will u plz continue singing this beautiful...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hee! Nimeskia kuna totoparty huko loh! Na wazazi mumo mumo ! Miye nawapeleka my kids kuosha kiwi cha macho! Wakamuone yule madini ya Diamond!! Nimeskia ndo mburudishaji siku hiyo! Mweh! namiye...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Na nafsiyako kua adui yako
0 Reactions
7 Replies
916 Views
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumai mko wazima wa afya naomben mnijuze mkiki yakoje?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…