JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
inasemekana kuwa wanaume waafrika wengi wakiwa usingizini mikono yao hupenda kushikilia nyeti zao, tofauti na wazungu ambao hushika kichwa, je kuna ukweli wa hoja hii? kama ni kweli ni kwa nini?
1 Reactions
77 Replies
9K Views
hodi wana chitchat naombeni tujumuike pamoja
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Hospital ya Rugambwa ipo ktk mkoa wa Dar es salaam, kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Hospitali inayomilikiwa na kanisa katoliki jimbo kuu la Dar es salaam. Pamoja na kuboreshwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Klabu kongwe hapa nchini ya Simba imefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki katika Kombe la Klabu la Dunia mwishoni mwa mwaka huu baada ya kufanya vizuri katika makombe mawili iliyoshiriki:Klabu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliona uzi hapa jamvini umeleta majina ya wadada viongozi wapya wa CC 2014. Uzi huo uliletwa na ladyfurahia. Napinga hoja! Kwa kuzingatia haya:- Mwenyekiti ladydoctor Amefukuzwa mtaani kwa...
0 Reactions
11 Replies
982 Views
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naskia JF kuna Mabigwa wa kuomba Mapichamnato Na wengine mabingwa wa ku-upload mapichahayo mie naombeni Picha ya gesi ya Mtwara..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nyooo!! angalia wakware watakavyo ipapatikia thread.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1-Unasoma thread hii. 2-Wewe ni binadamu. 3-Huwezi kusema "P" bila kuunganisha lips zako. 4-Umejaribu kusema "P" bilaa kuunganisha lips umeshindwa. 6-Umejicheka mwenyewe. 7-Unatasabamu. 8-Hujajua...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
  • Closed
BARUA MAALUM KWA MMU WOTE S.L.P. 2014 LADIES ONLY JF CC NA MMU MODERATOR S.L.P 000 JAMII FORUM YAH: MWENYEKITI MPYA WA MMU 2014 NA VIONGOZI WENZAKE Rejea kichwa cha habari hapo juu...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
najitakia mwaka mpya mimi na rafiki zangu. Baba V AshaDii shemeji yangu Mamndenyi ladyfurahia
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Niko huku jijini Arusha lakini sina uhakika kama kuna wadau wa JF, kama kuna wadau wa JF basi wajitokeze tufahamiane na kubadilishane uzoefu. Nawasilisha.
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Ni mwaka mmoja sasa tangu nimekutana nae na kusema yes i do feel the same to my lovely sweetheart na bado tupo imara. namshukuru mungu kwa kutupa afya njema na kutuepusha na vikwazo mbalimbali vya...
16 Reactions
384 Replies
20K Views
1) Aliekwenda dukani kuulizia bluetooth. 2) Aliekula hotelini vyombo akaosha. 3) Alienunua chockstick akaitia kwenye mkoba. 4) Aliemuamkia mtu aliyeko kwenye TV. 5) Aliechukua pande la barafu...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Interesting thing about Friday in 2014..... 4/4/2014 Friday 6/6/2014 Friday 8/8/2014 Friday 10/10/2014 Friday 12/12/2014 Friday 1997 Calendar repeated again in...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za siku: Kwanza leo ni Ijumaa na kwa sasa niko salama mahali flani nikiwa na akili zangu timamu. Nisiwachoshe ni hivi: Hivi karibuni nimepokea malalamiko kutoka kwa Wana-Chitchat kadhaa...
5 Reactions
165 Replies
8K Views
jamani wana cc nisikukadhaa zimepita nilikua nikiana thread mbalimbali nying zisemazo ni memmiss mke wangu khaa kuona vile nikajua kumbe kuna kuoana humu jf .Hahaha sasa basi NA MIMI NATAFUTA MKE...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa waliosoma MHONDA TTC moro! naomba mnijulishe ada yake sh ngap? pia namna ya kujiunga hapo chuoni kwa ngazi ya cheti! Thnx!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar za mchana ndugu.naulizia hotel nzuri mkoa wa iringa nipo njian naenda iringa.I mean 5 star hotel in iringa.msaada tafadhal ndugu zanguni
0 Reactions
8 Replies
5K Views
naomba mnisomee hapa kwa nguvu!!! soma na hapa!! (kwa maneno yaliyo juu tu!!)
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom